Uyoga wa matsutake wa Kijapani ni uyoga wa gharama kubwa zaidi duniani wakitajwa kuchukua hadi $500 (Millioni 12,900,000 Tsh) kwa kila pauni, na INAchukuliwa kuwa moja ya viungo vya thamani zaidi vya vyakula vya Kijapani.
Uyoga wa Matsutake, au mattake hukua kwenye maeneo ya Korea, China, na hata Marekani, lakini ni uyoga tu unaovunwa nchini Japani, hasa karibu na eneo la Kyoto kama ilivyo ripotiwa na oddity central.
Ingawa Matsutake wa Kijapani unaweza kugharimu hadi mara kumi zaidi ya uyoga unaoagizwa kutoka nje ya nchi nyingine.
Matsutake ya Kijapani huthaminiwa kwa harufu yake kali, umbile la nyama, na ladha yake ya nyama.