Hapo Uganda kumekuwa na waimbaji wakali kama Aziz Azion ambao walifanikiwa kuvuka boda vizuri na kuwafikia Watanzania wengi kwasababu walichanganya kiswahili kidogo kwenye nyimbo zao, February 2016 iliachiwa hii video ya msanii mwingine anaitwa Winnie Nwagi ‘musawo‘ ukishaitazama usisite kumuachia comment yako akipita aione mtu wangu
https://www.youtube.com/watch?v=zyg6vo4ewGM
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE