Soko hili hufunguliwa siku ya alhamisi ambapo wafanyabiashara wadogo hupanga bidhaa mbalimbli kwa ajili ya kuuza, lipo Okavu kaskazini magharibi ya Uganda kwenye barabara ambayo upande mmoja ni Uganda na upande mwingine ni nchi ya Congo pia imeelezwa kuwa eneo hili la soko kuna lugha sita zinazozungumzwa kutokana na kwamba lipo kwenye mpaka wa nchi hizo mbili.
Soko hilo limepewa jina la Kampala-Kinshasa Market kutokana na waganda pamoja na wacongo kufanya biashara pamoja katika soko hilo.
ULIKOSA KUITAZAMA VIDEO YA APPLICATION ILIYOZINDULIWA KWA AJILI YA KUZUIA AJALI? UNAWEZA ITAZAMA VIDEO NIMEKUWEKEA HAPA CHINI