By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
Millard AyoMillard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2024 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Ujenzi bandari ya Uvuvi Kilwa wafikia asilimia 63%, kukamilika Februari 2025
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Millard AyoMillard Ayo
Font ResizerAa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2024 MILLARD AYO. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Ujenzi bandari ya Uvuvi Kilwa wafikia asilimia 63%, kukamilika Februari 2025
Top Stories

Ujenzi bandari ya Uvuvi Kilwa wafikia asilimia 63%, kukamilika Februari 2025

Published July 30, 2024
Share
1 Min Read
.
SHARE

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema ameridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Bandari ya Uvuvi ya Kilwa Masoko ambao mpaka sasa umefikia asilimia 63 na unatarajiwa kukamilika mwezi Februari, 2025.

Waziri Ulega amesema hayo leo alipotembelea kukagua maendelea ya ujenzi wa mradi huo unaofanyika wilayani Kilwa, mkoani Lindi leo Julai 30, 2024.

Amesema bandari hiyo ya uvuvi inayojengwa kwa fedha za ndani ni mradi wa kielelezo unaotekelezwa chini ya serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

“Mradi huu tuutazame kama mboni ya jicho letu ili uwe endelevu kwa maana ukikamilika utainua uchumi wa Kilwa, ukanda wa Kusini na Taifa kwa ujumla”, amesema

“Nimefurahi hatua ni nzuri, tumepiga hatua zaidi ya nusu, muhimu kuhakikisha kazi inakwisha kwa wakati ili Watanzania waweze kuona thamani ya pesa zao, shukrani nyingi kwa rais wetu, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuamua kuujenga mradi huu ambao ni wa kielelezo kwa taifa letu”, alifafanua

.
.
.
Share This Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article DC na Wenzake walivyojinyima posho miezi minne na kujenga Ofisi
Next Article Dkt Biteko awakemea Watumishi wanaokwamisha Wafanyabiashara
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Wanafunzi Kapeta,Kiwira warithishwa ari ya utunzaji mazingira
Wananchi Manispaa ya Morogoro waelezwa umuhimu kuboresha daftari la kudumu Mpiga kura
Naibu Katibu mkuu wizara ya madini asisitiza uwajibikaji weledi na ubunifu katika utekelezaji wa majukumu
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 22, 2025
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US
© 2024 MILLARD AYO. All Rights Reserved. Designed by Ayo.

Lost your password?