Mkurugenzi wa Mashtaka nchini DPP Biswalo Mganga amesema utaratibu wa Watuhumiwa wa makosa ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji Fedha kuomba kukiri makosa sio kigezo cha kutotiwa hatiani.
Biswalo amesema mpaka sasa zaidi ya watuhumiwa 300 wamekiri makosa yao na kutakiwa kulipa.
MBATIA AFICHUA ALICHOONGEA IKULU NA RAIS MAGUFULI “TUSIBISHANE KUONGEA UBAYA”