Katika kupambana na maambukizi ya ugonjwa wa UKIMWI Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Jiji la Mbeya limegawa Kondom kwa Madiwani na Watendaji wake ili wawe mfano mzuri wa kutumia aina hiyo ya kinga.
Kondom hizo zimegawiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kupambana na UKIMWI Fanuel Kyanula ambaye pia ni Naibu Meya wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya.
MAFISADI WAMEKUSANYA WATU WAANDAMANE ARUSHA MKURUGENZI “WAMEPEWA ELFU KUMI”