July 31, 2018 Naendelea kukuletea taarifa kuhusu miradi mbalimbali ya Serikali na leo nakusogezea kutoka Sumbawanga ambapo ni Moja kati ya Halmashauri 18 zilizopokea Mradi huu wa ULGSP kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI, Nimekuwekea Dakika 10 hapa kujua miradi walioamua kuitekeleza.
BREAKING: Lugumi amewasili Wizara ya Mambo Ndani kuonana Lugola
https://youtu.be/ZaDxb-DvuTM
LIVE MAGAZETI: Waliomdhalilisha Jokate ”watapata tabu sana”, “Nawasha moto kumchoma Mbowe”