Kadiri dunia inavyozidi kuwa kitu kimoja ndivyo mambo ambayo yalikuwa vigumu kuyafahamu yanazidi kuwekwa bayana ambapo tafiti zinazidi kufanywa kubaini na kutambua mambo mbalimbali katika maisha na mazingira ya binadamu.
Wanasaikolojia, wataalamu wa afya na tiba, wana anga, wana maji na wabobevu wa masuala mbalimbali wanazidi kutanua wigo wao kuhakikisha tunafahamu ambayo hayakufahamika awali. Leo April 25, 2017 kupitia kwa wataalamu hawa wa fani mbalimbali nimekusogezea mambo matatu ambayo pengine ulikuwa huyafahamu.
Unaambiwa muda mrefu zaidi kwa mwanamke kutunza siri yoyote bila kuisema popote ni saa 47 na dakika 15 tu, baada ya hapo haiwi siri tena.
#UNAAMBIWA Njia rahisi na salama ya kushindana na msongo wa mawazo au kusahau matatizo ni kulala, na sio pombe au sigara kama ilivyozoeleka pic.twitter.com/oTXXTncnNp
— millardayo (@millardayo) April 24, 2017
#UNAAMBIWA Muda mrefu zaidi kwa mwanamke kutunza siri yoyote bila kuisema popote ni masaa 47 na dakika 15 tu, baada ya hapo haiwi siri tena pic.twitter.com/dhptsYPB7M
— millardayo (@millardayo) April 24, 2017
#UNAAMBIWA Wanawake hawazipendi kazi zinazofanywa na wanaume lakini wana uwezo mkubwa wa kuzifanya kwa kiwango bora zaidi ya wanaume wenyewe pic.twitter.com/TmpAGGTp91
— millardayo (@millardayo) April 24, 2017
VIDEO: Mpango utakaosaidia kupunguza ajali za barabarani kwa wanafunzi. Bonyeza play kutazama…