Ikiwa ni siku ya nane tangu taifa la Ukraine kuvamiwa na Urusi, sasa Maafisa wa Urusi wamezungumza kuhusu Wananchi wa Ukraine waliochukua Silaha kujiandaa na Vita.
Ayo TV & Milardayo.com imekuandalia hapa taarifa kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.
MWANAJESHI WA URUSI AWEKA SILAHA PEMBENI AJISALIMISHA MIKONONI MWA UKRAINE ‘ALIA KWA UCHUNGU’