Mwenyekiti wa UVCCM Arusha Lengai Ole Sabaya anashikiliwa na Jeshi la polisi Arusha akidaiwa kughushi kitambulisho cha usalama wa taifa na kukitumia kwa utapeli. Kamanda wa polisi Arusha, Charles Mkumbo wamemkamata baada ya Jeshi la polisi kupokea malalamiko kutoka kwa wananchi.
Kitambulisho feki cha usalama wa taifa anachodaiwa kukitumia Lengai mwenyekiti wa UVCCM Arusha na kutapeli watu. pic.twitter.com/Xm73lq2Ltd
— millardayo (@millardayo) September 17, 2016
ULIKOSA UFAFANUZI WA MWANASHERIA KUHUSU HUKUMU YA KUNYONGWA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI