Duniani ikiwa na inapambana na Virusi vya Corona leo April 2, 2020 Wadau wa Umoja wa Kuharakisha Upatikanaji wa Tiba ya Coronavirus duniani wametangaza kutoa US $20M (TZS Bilioni 45) kwa taasisi zifuatazo kusaidia majaribio ya kupata chanjo.
Baada ya kutoka tangazo hilo Kampuni ya British American imeamua kufanya utafiti wa chanjo ya ugonjwa wa Virusi ya Corona Covid19 kupitia tawi lake la Bioteknolojia la nchini Marekani.
Kampuni hiyo imesisitiza kuwa “hii ni chanjo inayojaribiwa, sio chanjo kamili au tiba, kutokana na kuwa bado chanjo hiyo imo sehemu ya mapema katika utengezaji”