Dec 23 2015 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alimalizia kujaza nafasi za uteuzi wa Mawaziri na Naibu Waziri alizobakiza wakati akitangaza baraza la Mawaziri la kwanza katika awamu ya tano ya utawala wake.
Sasa leo Dec 29, 2015 aliyekuwa waziri wa Utalii na Maliasili, Lazaro Nyalandu amekabidhi rasmi ofisi kwa Waziri wa awamo ya tano aliyeteuliwa na Rais Magufuli, Prof. Jumanne Maghembe.
Ninazo picha hapa.