Leo katika vitu ambayo vimetikisha mkoa Morogoro ni baada ya kuzagaa taarifa ya kwenye mitandao ya kijamii kuwa Mwigizaji maarufu nchini Irene Uwoya kuwa mgeni rasmi katika kanisa la Ufunua lililopo Mkundi Manispaa ya Morogoro katika sherehe ya Wanawake wa Kanisa hilo pamoja na kutimiza miaka 8 tangu kuanzishwa kwake.
Baada ya kuzagaa kwa taarifa hii mwandishi wa Ayo TV na Millard Ayo .com Mkoani Morogoro alifunga safari hadi katika kanisa hilo ili kupata ukweli wa taarifa hiyo.
Stori kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.