Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari amesema amekuwa haonekani kwenye mikutano ya hadhara mara nyingi lakini anafanya kazi kubwa ya kuwahudumia watu wa Meru huku akiwaomba wananchi kwenda nje ya nchi kwa ajili ya kutengeneza mahusiano ya kuwasaidia wanafunzi kujifunza ili watakaporudi waweze kuwasaidia wenzao.
Mbowe, Mwamunyange, Sugu na Viongozi wa CHADEMA msibani kwakina Prof. J