Leo April 5, 2018 Mbunge wa Tarime Vijijini kupitia (CHADEMA), John Heche amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kusomewa mashtaka yanayomkabili.
Heche nae anakabiliwa mashtaka kama waliyofunguliwa Viongozi saba wa CHADEMA akiwemo Mwenyekiti Freeman Mbowe ambao wapo nje kwa dhamana.