Kwenye dunia sio kila mmoja anaweza ku-share furaha au anaweza kupata furaha kwa kukipata unachokitaka ama kupewa anachokitaka ili kumfanya aendelee kuwa na furaha na kulinda furaha yake kila mara bali furaha huandaliwa kwa misingi.
Sasa good news iliyonifikia ni kwamba Kipanya amejiunga rasmi na Vodacom RED na kizuri zaidi ni kuwa atakuwa ana-share na sisi mfululizo wa maisha atakayokuwa anaishi sasa baada ya kujiunga na huduma hiyo itolewayo na Vodacom Tanzania.
Nani anajua kitu gani atatuletea? Bila shaka tuna imani tutapata faida azipatazo akiwa na Red RLX.
Naambiwa Vodacom Red ni mpango maalum unaojumuisha vifurushi na mtu hulipa kadri atumiavyo lengo likiwa kuwafanya wateja wa Vodacom waishi bila wasiwasi linapokuja suala la mawasiliano kwa kuwa vinakupa dakika nyingi, MB za intaneti nyingi, SMS nyingi na dakika za kupiga simu nje ya nchi.