Habari za ajali ya kuzama kwa mtumbwi ambao ulikuwa unatumika kuwavusha watu kutoka upande wa soko kuu feri na kuelekea Kigamboni zilianza kuenea May 27 2016 ambapo Mtumbwi huo unasadikika kubeba watu zaidi ya 16 ambao baadhi yao wametoka wazima na watano wameripotiwa kufa.
Ayo TV imezungumza na Mratibu msaidizi wa Jeshi la Zimamoto, Bashir Mazehebi ambaye amezungumza haya …………….’>>>’chombo kilichopata ajali ni Boti za fiber ambazo zinatumika mara kwa mara pale Kigamboni kunapokuwa na msongamano wa watu kuna biashara ya kuvusha watu huwa inafanyiaka, jana kulikuwa na msongamano wa watu pale hatimaye baadhi ya watu waliamua kupanda chombo hicho ambacho sio rasmi’
UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII
ULIKOSA SHUHUDA WA PANTONI LA KIGAMBONI INJINI ILIVYOZIMA KATIKATI YA MAJI? BONYEZA PLAY HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE