Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan amewaagiza wadau wa zao la tumbaku kuhakikisha wanatumia teknolojia ya kisasa katika ukaushaji wa tumbaku kutokana na ongezeko la uharibifu wa mazingira.
“Uharibifu mkubwa wa mazingira unakwenda kwenye ukulima wa tumbaku mnapokausha mnatumia magogo, mvua mnazozilalamikia sasa hivi ni kwa sababu mmeikata miti kwa kuchomea tumbaku” Makamu wa Rais
WAZIRI MKUU AMSIMAMISHA DC SABAYA NAKUMPA MAAGIZO “TUMBUA HAPO HAPO”