Inaripotiwa kwamba kutoka DRC Wakimbizi ambao wako nchini Rwanda wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kuunda kundi la uhalifu na kufanya maandamano jambo ambalo ni kinyume na sheria za nchi hiyo.
Katika kesi hiyo mwendesha mashtaka ameagiza watu hao kuwekwa rumande kwa muda wa siku 30 ili kupisha uchunguzi na ushahidi zaidi juu ya mashtaka hayo.
Mbunge Lema amekamatwa na Polisi Arusha
Hatahivyo wakimbizi hao ambao wako katika kambi ya Kiziba magharibi mwa Rwanda, wamedai kuwa wanazuiliwa kinyume cha sheria na kutaka waachiliwe mara moja.
LIVE: Mamlaka ya usafiri wa anga TZ wanazungumza na waandishi