Kuna vipisi vya sekunde 15 kila kimoja hapa kwenye hii post ya vichekesho/vituko vilivyotengenezwa ambapo hiki cha kwanza hapa chini ni cha dalali wa nyumba ambaye ni mjanjamjanja ila aliumbuka pale alipopeleka Wateja kwenye mtaa wenye nyumba iliyowazi, akawa anawaambia jinsi huo mtaa ulivyo salama lakini kinaachoonekana kwenye video ni tofauti na anachosema.
Hiki kituko cha pili hapa chini ni cha mwizi mjanja ambaye ameamua kuvaa afanane na Ng’ombe ili akiiba akimbilie kwenye zizi la Ng’ombe lililo karibu.
Mjanja anaefanya shughuli zake za Wizi karibu na zizi la Ng’ombe ????????????
A video posted by millard ayo (@millardayo) on
Na hii video ya tatu hapa chini ni ya Boyfriend aliyeanza kuishi na girlfriend wake ambapo muda mfupi baadae anagundua girlfriend hajui kupika.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.