July 22 Manchester United inayofundishwa na kocha Jose Mourinho imekumbana na kipigo cha goli 4-1 kutoka kwa Borrusia Dortmund, katika mchezo wa kwanza wa mashindano ya International Champions Cup ambapo vilabu vingi hushiriki kama sehemu ya maandalizi ya msimu.
Man United wamefungwa goli 4 na kuambulia goli moja lililofungwa na Mkhitaryan dakika ya 59, hiyo ni baada ya Dortmund kuongoza kwa magoli matatu yaliokuwa yamefungwa na Castro dakika ya 20, Aubameyang dakika ya 36,, Dembele dakika ya 57 kabla ya Castro kuhitimisha kwa kufunga goli la nne dakika ya 86.
https://youtu.be/wdWZ7ph34UA
ALL GOALS: YANGA VS MEDEAMA SC JULY 16 2016, FULL TIME 1-1