June 4 2016 timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ilicheza mchezo wake wa tatu wa Kundi G wa kuwania kufuzu michuano ya mataifa Afrika 2017 AFCON dhidi ya timu ya taifa ya Misri uwanja wa Taifa Dar es Salaam, mchezo ulimalizika kwa Misri kuibuka na ushindi wa goli 2-0, magoli ambayo yalifungwa na Mohamed Salah dakika ya 43 na 58.
ALL GOALS: Azam FC Vs Esperance ya Tunisia April 10 2016 (Full Time 2-1)
https://youtu.be/duzv5kA8Q-c
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE