Ni July 8, 2016 ambapo Mtayarishaji mkongwe wa muziki nchini, Joachim Kimaryo ‘Master J’ ameweka wazi list ya ma producer anaowakubali kutoka kwenye tasnia ya muziki wa Bongo Fleva.
Akizungumza na Ayo TV alisema…’Wa kwanza kabisa mimi namkubali marcochali, wa pili namkubali Shirco ni mkali sana ila tu watu hawajui ukali wake kwenye Bongo Fleva, watatu ambae anafanya vizuri sasa hivi ni Nahreel na wa mwisho ambae baadae mtakuja kunielewa ni Daxochali’– Master J
ULIIKOSA HII YA KUTOKA KWA PRODUCER MASTER J BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA