October 9, 2017 Meya wa Ubungo, Dar es salaam Boniface Jacob ameingia kwenye headline nyingine baada ya kuamua kutoa sehemu ya posho zake za mwezi kwa ajili ya kusaidia mafunzo kwa wajasiriamali katika Halmashauri yake.
Meya Jacob ametangaza uamuzi wake huo aliposhiriki katika uzinduzi wa vikundi 21 vya watu 660 iliyofanyika Kibamba ambapo amesema zoezi hilo litaanza rasmi mwezi huu.
BREAKING: Hiace yazama Ziwa Victoria na kuua 12, Shuhuda na RPC wasimulia