Ni katika Mahakama ya Kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya ambapo kesi ya Sabina Njeri mwenye umri wa miaka 23 ambaye anakabiliwa na mashtaka ya kumuua mume wake kwa kumchoma kisu baada ya kushindwa kumnunulia viatu vyenye thamani ya shilingi za Kenya 1000 ambazo ni sawa na kama shilingi elfu 18 za kitanzania.
Chini ya hakimu Heziah Kiago aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo inadaiwa mwanamke huyo na mumewe walikuwa katika matembezi eneo la Makutano ndipo alipona viatu hivyo na kumuomba mumewe amnunulie ambapo mumewe kukataa na Njeri kusubiri hadi walipofika nyumbani akamchoma kisu cha shingoni.
Angalia Video nzima ya story yenyewe kama ilivyoripotiwa na kituo cha Citizen Tv Kenya.
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta FB