Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro limemtaka dereva aliyeonekana kwenye video mtandaoni akigombana na Askari Polisi watatu Kitengo cha Usalama Barabarani afike kituo cha Polisi ili aelezea tukio hilo lilivyokuwa pamoja na madhara aliyopata kutokana na tukio hilo.