Baada ya kuwa na maneno mitandaoni kwamba Mwigizaji Kajala amepokonywa Gari na Harmonize kutokana na kile kinachodaiwa kuwa wawili hao hawapo pamoja kwa sintofahamu ilitokea.
Sasa leo Desemba 16, 2022 imesambaa video ikimuonesha Kajala akiwa kwenye gari hilo baada kwenda kumtembelea Mwanae aitwae Paula.
Kwa Stori kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.