Kampuni ya Ujenzi wa Mradi wa Barabara za Juu katika makutano ya Ubungo (Ubungo Interchange) imetoa taarifa ya kuruhusu watumiaji wa makutano hayo kuanzia leo Jumamosi Mei 30, 2020 magari yanayotoka Kimara kuelekea Mjini (Kariakoo, Posta) na maeneo mengine na magari yanayotoka (Kariakoo, Posta) kwenda maeneo ya mengine kupita kwenye Daraja la ngazi ya kwanza (Morogoro Flyover) ili kupunguza msongamano katika ngazi ya chini na pia kuruhusu ujenzi wa Barabara kuendelea.
Ukibonyeza PLAY hapa chini utaitazama video nzima ya jinsi magari yanavyopita kwa mara ya kwanza Ubungo interchange.