Ni video ikimuonesha aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya akitembea kutoka nje ya jengo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi mkoani Kilimanjaro mchana huu baada ya kuachiwa huru kutokana na kukiri makosa yake, taarifa kamili kukujia.
View this post on Instagram