Leo Septemba 04,2024 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko amepokelewa kwa heshima bungeni ambapo Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametumia dadika chache kumkaribisha na kutoa maelekezo kwa wabunge kupitia kamati za bunge kuhusu nafasi yake.