Serikali Wilayani Geita Imetoa Onyo kali kwa wananchi wanaojihusisha na Uharibifu wa Mazingira katika Msitu wa Hifadhi Samina ili kupisha maeneo yanayotumiwa na Jeshi la Wananchi kufanya mazoezi ya Kuwajengea Utimamu wa Kivita Kwa Maafisa na Asikari ili wajiimalishe katika Utendaji Kazi.