Wakala wakubwa wa utalii (Travel Agents) 8 kutoka nchi za Canada, Ubelgiji na Ufaransa. Wameingia nchini na kutemebelea Hifadhi za Taifa za Arusha, Tarangire, Lake Manyara, Serengeti na Hifadhi ya Ngorongoro nakukaa nchini kwa siku 11 huku wakisema watakuwa mabalozi wazuri wakiiuza Tanzania kwenye masuala ya utalii.