Mkuu wa Mkoa wa Dar Paul Makonda amekutana na balozi wa Japan nchini na kuongelea changamoto wanazokutana nazo wagonjwa katika Hospitali za Dar, Amana, TMK, na Mwananyamala, hususani kwa wagonjwa wanaotakiwa kupewa huduma za haraka pamoja na chumba cha ICU na kwa siku hospital moja inapokea wagonjwa 1800 mpaka 2000 na 50% ya wagonjwa hao wanahitaji huduma ya haraka (Emergency unity)
Kutokuwepo kwa huduma hizo katika Hospitali hizo Mkuu wa mkoa wa Dar amekutana na balozi wa Japan Masaharu Yoshida ofisini kwake na kufanya mazungumzo ya Kujenga Emergency Unity na wanaanza na Hospitali ya Temeke.
ULIMISS HAYA MAJIBU YA ABDU KIBA KUJIUNGA NA LEBELE YA WCB ITAZAME HII VIDEO HAPA CHINI…
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE