Mwili wa marehemu Massoud Mohamed Mkuu wa upelelezi wilaya Ukerewe mkoani Mwanza aliyewahi kuchukua umaarufu katika mitandao ya kijamii kwa kutoa elimu ya dini ya kiislamu umewasili mkoani Tabora tayari kwa mazishi leo.
Baadhi ya viongozi wa dini na serikali akiwemo mwakilishi wa Mufti mkuu na mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri watashiriki ibada ya mazishi
Itazame hii video hapa ujionee namna mwili wa mpendwa wetu Afande ulivyowasili nyumbani kwao Tabora