Bibi Eliakunda Mafie mkazi wa kata ya Songoro wilayani Arumeru Mkoani Arusha,amekabidhiwa nyumba mpya na mkuu wa wilaya ya Arumeru Jeryy Muro pamoja na mtumishi wa Mungu mwalimu Onesmo Nko baada yakuishi kwenye nyumba ya zamani ambayo ilijengwa kwa mbao kwa zaidi ya miaka kumi
Muro pamoja na bibi huyo walitokwa na machozi ya furaha wakati bibi huyo akikabidhiwa nyumba hiyo.Tazama hii video chini ujionee