NI Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Makongoro Nyerere ambae time hii aemfanya uapisho kwa Wakuu wa wilaya sasa miongoni mwa vitu vilivyowaacha hoi watendaji na watu mbalimbali kupelekea kucheka ni baada ya kusema tangu azaliwe hajawahi kuwaapisha Ma DC hivyo anamshukuru Mama Samia kwa kumpa cheo cha Ukuu wa mkoa kwani kimemuheshimisha.