Mvuto wa ramani za viwanja 12 vitakavyotumika Kombe la Dunia 2022 Qatar (+Pichaz)
Share
4 Min Read
SHARE
Kwa kawaida maandalizi ya Michuano ya Kombe la Dunia hufanyika miaka zaidi ya minne kabla ya nchi husika kuanza kupokea timu katika miji yao. Imekuwa kawaida kwa kila nchi inayotarajia kuwa mwenyeji wa michuano ya Kombe la Dunia kutengeneza viwanja vipya na vyenye hadhi kwa ajili ya michuano hiyo.
Nchi ya Qatar ambayo ndio mwenyeji wa Michuano ya Kombe la Dunia 2022 mtandao wa sokka.com umetoa list pichaz 12 za viwanja vinavyotajwa kuwa vitatumika katika mihuano hiyo 2022. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee pichaz 12 za muonekano wa viwanja 12 vilivyotajwa na sokka.com kuwa vitatumika 2022.
1- Lusail Iconic Stadium
2- Khalifa International stadium
3- Sports City stadium
4-Al-Khor Stadium
5-Al-Shamal Stadium
6-Al-Wakrah Stadium
7-Umm Slal Stadium
8-Doha Port Stadium
9- Education city stadium
10-Al-Gharafa Stadium
11-Al-Rayyan Stadium
12- Qatar University Stadium
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGOandika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na MillardAyokwenye Twitter, FB, Instagramna YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE