Jeshi la Polisi mkoani Arusha linamshikilia Askari Magereza Faustin Massanja kwa kumpiga risasi na kumuua askari mwezake wa Magereza kile kinachodaiwa kuwa ni ugomvi baina yao.
Akizungumza na vyombo vya habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Charles Mkumbo amesema kuwa uchunguzi unaendelea kubaini undani wa tukio hilo la kupigwa risasi kwa askari magereza.
WANAWAKE WALIOVISHANA PETE YA UCHUMBA MWANZA MAHAKAMANI TENA