Benjamin Fernandes ni Mtanzania ambaye ameingia kwenye headlines katika mitandao mbalimbali baada ya kuhitimu Masters kwenye Chuo Kikuu cha Biashara kinachotajwa kuwa Namba moja Duniani, Stanford, Marekani.
Good news ni kwamba amepata nafasi nyingine kwenda Chuo Maarufu Duniani, Harvard.
Mtanzania aliyekataa mshahara wa Tsh. Milioni 425 Marekani amerejea nyumbani