March 31 2016 Taasisi ya kupambana na Rushwa TAKUKURU iliwafikisha Mahakamani Kisutu Dar es salaam Wabunge wa CCM Victor Mwambalaswa wa Lupa, Kangi Lugola wa Mwibara na Sadiq Murad wa Mvomero kwa kosa la kuomba rushwa ya milioni 30.
Waliomba hiyo rushwa kutoka kwa mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Gairo kama kishawishi cha kutoa mapendekezo mazuri kwenye ukaguzi wa hesabu zake za mwaka 2015/16 ambapo Mahamani March 31 Wabunge hao walipata dhamana ya shilingi milioni tano kwa kila mmoja na kesi hiyo itatajwa tena April 14 2016.
Uliikosa ya mfungwa Mtanzania gerezani China alivyompigia simu Millard Ayo? unaweza kuisikilza hapa chini
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram naYouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE