Exclusive Interview na “The Ramadhan Brothers” wakali wa sarakasi na wawakilishi wa nchi katika mashindano ya Australia Got Talent.
Vijana hawa walikutana mwaka 2018 ambapo waliamua kuungana na kufanya kazi kwa pamoja wakiamini kuwa siku moja vipaji vyao vitaweza kuwafikisha mbali kutokana na uwezo mkubwa walionao katika kuifanya sanaa ya sarakasi.
Ibrahim Mwaimise na Fadhili Ramadhani wamefunguka pia juu ya fedha kiasi cha Milioni 230 zinazoelezwa kuwa wamezipata katika Mashindano hayo.