Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mwita Waitara ametoa siku 14 kwa Mtendaji mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) uwasilisha mpango kazi wa ujenzi wa miundombinu katika stesheni ya Mpanda.