Usiku wa February 21, 2019 Mashuhuda walionusurika katika ajali iliyosababisha vifo 17 Mkoani Songwe wamezungumza na AyoTV na millardayo.com jinsi ajali hiyo ilivyotokea na kueleza kuwa moja ya gari lilifeli breki.
Mmoja wa waliokuwemo katika gari ambalo limeilalia costa amesema kabla ya ajali alishuka katika check point kuwasalimia Askari wakati anawasalimia dereva wa lori aliyempa lift alimuacha hapo na kuamua kuondoka sasa wakati anashuka ndipo gari lilifeli break na kutokea ajali hiyo.
BREAKING: WATU 17 WAFARIKI COSTA IKIGONGANA NA LORI SONGWE