Hivi ndivyo baadhi wakazi wa kijiji cha Kimba, Ngorongoro ndani ya eneo la Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro katika Mkoa wa Arusha, wakiezua paa na kuvunja maeneo yao wakiwa ni miongoni mwa Wananchi wa kijiji hicho waliomua kuondoka kwa hiyari kwenda kwenye kijiji cha msomela Wilayani Handeni ikiwa ni hatua ya awali ya utekelezaji wa makubaliano ya kupisha uhifadhi endelevu katika eneo hilo la urithi wa Dunia.