Usafiri kati ya Mkoa wa Mbeya na Njombe umekwama kwa muda wa zaidi ya Saa nane baada ya Madereva wa malori yanayosafirisha viazi mviringo kufunga barabara kuu ya Mbeya- Makete, wakipinga hatua ya TANROADS kuwalazimisha kwenda umbali wa zaidi ya KM 30 kupima uzito wa magari yao katika mzani wa Uyole.
MREMBO ALIEACHWA AKAAMUA KUMTUNGIA WIMBO BOY WAKE, “SIKU-ENJOY MAPENZI”