Hivi karibuni kamati ya mawaziri wa mikopo ya serikali za wanafunzi wa Elimu ya juu nchini Tanzania inayoundwa na mawaziri, Manaibu waziri na makatibu wa wizara ya mikopo kutoka vyuo vyote nchini walitoa masikitko yao kwamba wakati wakijiandaa kwenda ‘field’ hakuna mchakato wowote unaoendelea kupelekea kupata fedha za ‘field’.
Leo July 19 2016 waziri wa elimu, sayansi na teknolojia prof, Joyce Ndalichako amekutana na waaandishi wa habari na moja ya swali aliloulizwa ni hili kuhusiana na wanafunzi wa vyuo vikuu kutopata fedha za field mpaka sasa, Prof. Ndalichako amesema……..
>>>Hizi fedha za field hatuwezi kuzilipa mpaka tujiridhishe kwamba hakuna wanafunzi hewa kwa sababu tunapoteza fedha nyingi sana katika kuwalipa wanafunzi wasiostahili’
ULIKOSA HII YA WANAFUNZI ELIMU YA JUU KUTOA SAA 72 KWA BODI YA MIKOPO? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI