Baadhi ya wananchama wa chama cha mapinduzi Arusha katika kata ya moshono wamempinga mgombea aliyepitishwa baaada yakumkata aliyeteuliwa na barua ya chama hicho kugombea udiwani katika kata hiyo
Baada ya malalamiko hayo katibu wa CCM wilaya ya Arusha Denis Mwita amesema ni kweli wameengua majina ya wagombea watatu katika kata za Moshono,Sakina pamoja na Themi waliopewa barua zakugombea baada yakupokea maelekezo kutoka kwa viongozi wa chama hicho kuwarudisha walioongoza kwenye kura za maoni