Mamia ya wananchi Wilaya ya Karatu mkoani Arusha wamejitokeza kufanyiwa uchunguzi wa mgonjwa ya moyo na madaktari bingwa kutoka taasisi ya moyo ya jakaya kikwete kwa kushirikiana na wadau wa afya ili waweze kupatiwa matibabu pamoja na kujikinga na magonjwa hayo ambayo yamekua yakiathiri nguvu kazi ya taifa na kusababisha vifo.
Wakizungumza mara baada ya kufanyiwa uchunguzi wa magonjwa ya moyo na madaktari bingwa katika kambi iliyoandaliwa na taasisi ya JM Memorial foundation wananchi hao wanaeleza.
Mkurugenzi wa JM Memorial Heart foundation..amesema kambi hiyo inalenga kuwafika zaidi ya wananchi 2000.