oezi la pamoja la vitambulisho vya Taifa na kusajili laini kwa alama za vidole limeanza katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha ili kuwezesha Wananchi wengi kusajili laini zao baada ya Rais Magufuli kuongeza siku 20.
Zoezi hilo limewaleta pamoja TCRA, NIDA, Uhamiaji na Watu wa mitandao ya simu, lengo likiwa ni kuwahudumia Wananchi wengi na kwa haraka.
Mkuu wa Mkoa wa wa Arusha Mrisho Gambo amesema katika Mkoa wa Arusha kulikuwa na changamoto kadhaa ambazo zilipelekea Wananchi wengi kutosajili laini zao.
MAMA ASIMULIA MWANAE ALIVYOMUUA ‘MCHEPUKO’ WAKE KISA WIVU WA KIMAPENZI “ALIMPIGA NA JIWE”