Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akiwa na Wananchi wa Kata ya Ng’ambo wamepanda miti Mtaa mzima baada ya wananchi wasiojulikana kukata mti mmoja katika mkesha wa kupokea Mwaka 2020 katika zoezi hilo ameagiza kuandikwa barua za onyo kwa watendaji wote ambao wamekaidi agizo lake la kuotesha miche 1000 kwa
“Kama Mtendaji ameshindwa kusimamia maana yake hatufai huyo tunamuondoa tu anatupotezea muda mtu mvivu hawezi kukaa Tabora” RC Mwanri
ZIMAMOTO FEKI ANASWA NYUMBA YA KULALA WAGENI, TAKUKURU YAMUHOJI